NECTA yatangaza matokeo ya Darasa la nne, kidato cha pili na kidato cha nne .

Katibu kuu mtendaji necta Dkt. Charles Msonde,ametangaza matokeo ya Darasa la nne, kidato cha pili na kidato cha nne leo mbele ya waandishi wa habari.